Connect with us

VIDEO: Benjamin Bilal – Tenda | Download

Video

VIDEO: Benjamin Bilal – Tenda | Download

VIDEO: Benjamin Bilal - Tenda | Download

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Benjamin Bilal mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa TENDA.

“Naam tangu siku ya leo, Mimi ndiye, Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu; Mimi NITATENDA kazi, naye Ni Nani awezaye kuzuia?” Isaya 43:13 “Tazama, NITATENDA neno jipya; Sasa litachipuka; je! Hamtalijua Sasa? Nitafanya njia hata jangwani na mito ya maji nyikani.” Isaya 43:19.

TENDA ni wimbo uliozaliwa kutokea kwenye mistari hiyo ya Neno la Mungu, Naam na tangu sasa naomba ukafanyike ibada na maombi kwa Mungu wetu aliyeahidi atatenda Basi hatuna sababu ya kumpa mipaka katika kazi yake, Tumuache atende sawasawa na Neno lake la mapenzi yake.” – Benjamin Bilal alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Benjamin Bilal wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 769 983 656
Facebook: Bilali Benjamin/Benjamin Bilali gospel Tz
Instagram: @benwawwm_official
Twitter: @daudimwanisenga
Youtube: Benjamin Bilali Online

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top