Connect with us

VIDEO: Ann Annie – Ibaki Ilikuwaga | Download

VIDEO: Ann Annie - Ibaki Ilikuwaga | Download

Music

VIDEO: Ann Annie – Ibaki Ilikuwaga | Download

VIDEO: Ann Annie - Ibaki Ilikuwaga | Download

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Ibaki Ilikuwaga kutoka kwa mtumishi wa Mungu Ann Annie.

“Ibaki Ilikuwaga is an official video which talks about life story as God can make a change of your life style and break an acceptations of human being. God Bless You all.” – Ann Annie.

Karibu kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Ann Annie wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 715 661 464
Facebook: Ann Annie
Instagram: @annannie
Youtube: Ann Annie

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top