Connect with us

VIDEO 10 Bora Zilizopendwa Zaidi Agosti, 2019

10 Bora

VIDEO 10 Bora Zilizopendwa Zaidi Agosti, 2019

VIDEO 10 Bora Zilizopendwa Zaidi Agosti, 2019

Bwana Yesu asifiwe mtu wa Mungu tunaamini u mzima wa Afya huku ukiendelea kumshukuru kwa kuingia mwezi huu wa Tisa, Kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video kumi bora zilizopendwa zaidi mwezi Agosti 2019 kupitia YouTube bila kusahau jukwaa lako pendwa la gospomedia.com, Karibu ubarikiwe!

1. Power Power – Size 8 Reborn and Wahu
2. Nibadilishe – Goodluck Gozbert
3. Holy – Chidinma
4. SuperStar – Mr Seed & Nimo
5. Viwango vya Juu – Eddah Mwampagama ft. Rose Muhando
6. Wadumu Milele – Joel Lwaga
7. I Still Believe – Angel Benard
8. DAVID WONDER – ZUNGUKA
9. Unabore – Moji ShortBabaa
10. Mfariji – Samuel Yonah

Ni matumaini yetu kuwa kila video utakayoitazama itakupa jambo jipya ndani yako na kukubariki, Amen.

Kwa updates nyingi zaidi usiache kutembelea kurasa za mitandao yetu ya kijamii::
Facebook: GOSPO MEDIA
Instagram: @gospomedia
Twitter: @gospomedia
YouTube: Gospo Media

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

AUDIO | Ziyase - Shalapo

Audio

AUDIO | Ziyase – Shalapo

By February 26, 2020

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,808 other subscribers

To Top