Connect with us

AUDIO: Shad’B – Nasonga Mbele | Download

Audio

AUDIO: Shad’B – Nasonga Mbele | Download

AUDIO: Shad'B - Nasonga Mbele | Download

Mpya nyingine kutoka kwa Shad B akiwa ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Norway, Wimbo huu unaitwa Nasonga Mbele ukiwa ni wimbo wake wa saba kuachia kwa mwaka huu wa 2019.

Karibu kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Shad B wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +47 462 69 248
Instagram: @waba_shadra_wmp
Youtube: Official shad-B

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top