Connect with us

AUDIO: Sara Nyongole – Sitaogopa | Download

Audio

AUDIO: Sara Nyongole – Sitaogopa | Download

AUDIO: Sara Nyongole - Sitaogopa | Download

Kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa SITAOGOPA kutoka kwa mwanadada Sara Nyongole.

“Zaburi 23:1 – BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu… Zaburi 23:4 – Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji…” – alisema Sara

Sara Nyongole kwasasa yupo chini ya lebo ya Sane Music inayosimamia na kuratibu shughuli zote za huduma na karama yake.

Karibu kusikiliza wimbo huu ambao tunaamini kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Sara Nyongole wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 789 949 665
Facebook: Sara Nyongole
Instagram: @saranyongole
Youtube: Sara Nyongole

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top