Connect with us

AUDIO: Michael Wale ft. Subira Ferdinand – LIHIMIDIWE | Download

AUDIO: Michael Wale ft. Subira Ferdinand - LIHIMIDIWE | Download

Audio

AUDIO: Michael Wale ft. Subira Ferdinand – LIHIMIDIWE | Download

AUDIO: Michael Wale ft. Subira Ferdinand - LIHIMIDIWE | Download

Kutoka jijini Mwanza leo tunamtambulisha kwako mwimbaji Michael Wale na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa LIHIMIDIWE akiwa na mwanadada Subira Ferdinand.

“Maisha na chaangamoto nilizopitia zimenifanya niandike wimbo huu kuwakumbusha watu wamiinio katika Kristo Yesu kwamba Mungu aliyemuokoa Daniel bado anafanya kazi hata leo ameni.” – Michael Wale alisema

Karibu kusikiliza wimbo huu na moyo wako uliovunjika urudi kwa upya, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Michael Wale wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 784 819 651
Facebook: Michael Wale
Instagram: @michaelwale

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top