Connect with us

AUDIO: Ezekiel Makililo – Ni Zaidi ya Baba | Download

Audio

AUDIO: Ezekiel Makililo – Ni Zaidi ya Baba | Download

AUDIO: Ezekiel Makililo - Ni Zaidi ya Baba | Download

Kwa mara nyingine tena kutoka jijini Arusha wimbo mpya unaoitwa Ni Zaidi ya Baba kutoka kwa kwa Ezekiel Makililo akiwa ni mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili nchini Tanzania.

“Yesu anakupenda kwa Upendo usiopimika, Upendo wa milele usiokuwa na sababu. Upendo wa YESU ni zaidi ya Upendo wa Baba na Mama, Upendo wa mume na mke, Ni zaidi ya upendo wa mtu na mchumba wake. #UNAPENDWA #NAYESU #ANAKUPENDA #MILELE.” – Ezekiel alisema

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Ezekiel Makililo wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 745 458 802
Facebook: Ezekiel Makililo
Instagram: @ezekiel_makililo
Youtube: Ezekiel Makililo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top