Connect with us

AUDIO: Emily Steven – Hakika Unainuka | Download

Audio

AUDIO: Emily Steven – Hakika Unainuka | Download

Emily Steven - Hakika Unainuka

Kutoka mjini Moshi kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Emily steven mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Hakika Unainuka.

“Baada ya kuona vijana wengi hasa marafiki zangu wanajinyonga na kuingia kwenye ulevi uliopitiliza kutokana na Ugumu wa maisha ndipo nilipoamua kuandika wimbo huu kuwatia moyo na kurudi kwa Yesu, Amen.” – Emily steven alisema

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Emily Steven wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 762 849 081
Facebook: Mzawa EmilyStar
Instagram: @mzawaspeaker
Youtube: Emily Steven

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top