Connect with us

Video: Sophia Mapunda – Anaweza | Download

Video

Video: Sophia Mapunda – Anaweza | Download

Video: Sophia Mapunda - Anaweza | Download

Sophia Mapunda ni mwimbaji mpya katika tasnia ya Muziki wa Injili nchini Tanzania na hii ni video yake mpya ya wimbo unaoitwa Anaweza.

“Kuna nyakati ambazo binadamu tunapitia changamoto nyingi sana kiasi kwamba inapelekea kukata tamaa kabisa,
Nilipata kutambua kuwa hakuna jambo ambalo Mungu hawezi hata hajalishi ni muda gani itatuchukua kupita mahali hapo ila wakati ukifika unapata mlango wa kutokea, Hivyo nikaona vyema kuwa wimbo huu unaweza kuwatia moyo watu wanaopitia mambo magumu na hakika Mungu atawagusa kwa namna ya pekee na kuwainua tena, Amen.” – alisema Sophia Mapunda

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na tunaamini utabarikiwa na kuinuliwa upya kabisa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Sophia Mapunda wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 753 348 854
Facebook: Sophia Mapunda
Instagram: @sophiamapunda_official
Youtube: Sophia Mapunda

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,785 other subscribers

To Top