Connect with us

VIDEO: Size 8 Reborn & Wahu – Power Power | Download Audio MP3

Video

VIDEO: Size 8 Reborn & Wahu – Power Power | Download Audio MP3

Size 8 Reborn & Wahu - Power Power (Official Video)

Power Power ni video ya wimbo mpya kabisa kutoka kwa Size 8 Reborn akiwa amemshirikisha mwimbaji maarufu Wahu.

Video hii imeongozwa na Young Wallace, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Bern Mziki.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, #PowerPower.

Social Media Connection:
Facebook: Size 8 Reborn
Instagram: @size8reborn
Twittter: @size8reborn
Youtube: Size8Reborn

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top