Connect with us

Video: Richie Kisukuli – SAWA | Download

Video

Video: Richie Kisukuli – SAWA | Download

Video: Richie Kisukuli - SAWA | Download

SAWA ni video mpya kabisa kutoka kwa Richie Kisukuli ambaye ni mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Tanzania.

“SAWA ni wimbo unao elezea safari ya mfalme anayetawala duniani na mbinguni YESU KRISTO, Jinsi alivyo jitoa uhai wake kwaajili yangu mimi na wewe tuokolewe, Hakika hakuna mwanadamu ambaye angekubali kujitoa kwaajili ya wengine. Hivyo yatupasa tumkiri kuwa BWANA na mwokozi wa maisha yetu, Na HAKIKA hakuna atakaye iona mbingu pasipo kumkiri YESU KRISTO kuwa BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKE. AMEN.” – alisema Richie

Karibu kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Richie Kisukuli kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 746 468 922
Instagram: @richiekisukuli
Youtube: Richie Kisukuli

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top