Connect with us

Video: Lawrence Itare – Nyota yangu (Cover) ft. Elizabeth | Download

Video

Video: Lawrence Itare – Nyota yangu (Cover) ft. Elizabeth | Download

Video: Lawrence Itare - Nyota yangu (Cover) ft. Elizabeth | Download

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Lawrence Itare na hii video yake mpya ya wimbo unaoitwa Nyota Yangu akiwa amemshirikisha mwanadada Elizabeth ikiwa ni marudio ya wimbo uliowahi kuimbwa na mwimbaji wa Bongo Flava al maarufu Beka Ibrozama.

“Nyota yangu ni wimbo uliobeba maombi kwa Mungu anifanye kuwa mtakatifu, Naamini kwamba amesikia maombi yangu, Makosa yangu ameyafuta, Baraka amenishushia, Na ufalme wake nitaufikia, Amen.” – alisema Lawrence

Karibu kutazama video ya wimbo huu, Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi na Lawrence Itare wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 683 865 359
Facebook: Lawrence Itare
Instagram: @lolax206
Youtube: Kikumbo Sound

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,785 other subscribers

To Top