Connect with us

Gospomedia

Video: Gayany Mwansasu – Vita | Download Audio MP3

Video

Video: Gayany Mwansasu – Vita | Download Audio MP3

Video: Gayany Mwansasu - Vita | Download Audio MP3

Kutoka jijini Mbeya kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunamtambulisha kwako Gayany Mwansasu mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mbeya Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Vita.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Gayany Mwansasu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 377 057
Facebook: Gayany Mwansasu
Instagram: @gayanymwansasu_official
Youtube: Gayany Mwansasu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top