Connect with us

Gospomedia

Video: Francis Efrahimu – Atafanya na Kwako | Download Free MP3 Audio

Video

Video: Francis Efrahimu – Atafanya na Kwako | Download Free MP3 Audio

Atafanya na Kwako Francis Efrahimu

Kutoka kwenye albamu yake ya kwanza inayoitwa Atafanya na Kwako Francis Efrahimu mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ametusogezea video mpya ya wimbo unaobeba jina la albamu hiyo.

Atafanya na kwako ni wimbo ambao Mungu amenipa kuwakumbusha watu juu ya ahadi zake, Na kwamba ziko Baraka katika kumtegemea Mungu na hakika yale Aliyofanya kwa wengine anaweza na kwetu hata nyakati za leo, Usikate tamaa bali kiri ushindi ndani yako, Ameeeen! – alisema Francis

Atafanya na Kwako ni albamu ya kwanza kuachia ikiwa na jumla ya yyimbo saba (7) zikiwa kwenye mahadhi tofauti tofauti katika mfumo wa video DVD.

Ni hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kupitia video ya wimbo huu kila wakati uatakapokuwa unaitazama na Mungu atafanya na kwako kama alivyotenda kwa wengine, Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi na Francis Efrahimu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 021 238
Facebook: Francis Efrahimu
Instagram: @francisefrahimu_tz
Youtube: Francis Efrahimu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement
AUDIO | Soltune - It’s Working

Audio

AUDIO | Soltune – It’s Working

By December 15, 2019

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top