Connect with us

Gospo Media

Video: Eunice Kemunto – Wewe ni Mungu | Download Audio MP3

Video

Video: Eunice Kemunto – Wewe ni Mungu | Download Audio MP3

Video: Eunice Kemunto - Wewe ni Mungu | Download Audio MP3

Mtumishi wa Mungu Eunice Kemunto kwa mara nyngine tena ametusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Wewe ni Mungu.

“You are God of my life. Where would I be without you? Be blessed as you #listen, #watch #like and #share” – Eunice Kemunto

Wewe ni Mungu ni moja kati ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu yake mpya LIKE JESUS inayotarajiwa kuwekwa wakfu na kuachiwa rasmi tarehe 14 Septemba 2019 nchini Canada.

Kwa Moyo Mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Eunice Kemunto wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 7809 010 912
Facebook: Eunice Kemunto
Instagram: @kemunto_eunice
Youtube: Eunice Kemunto

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,147 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top