Connect with us

Gospo Media

Video: Eddah Mwampagama – Viwango vya Juu ft. Rose Muhando | Download Audio MP3

Video

Video: Eddah Mwampagama – Viwango vya Juu ft. Rose Muhando | Download Audio MP3

Eddah Mwampagama - Viwango vya Juu

Kwa mara nyingine tena Tanzania mwimbaji Eddah Mwampagama katika mwaka 2019 ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Viwango vya Juu akiwa amemshirikisha malkia na mkongwe wa muzikiwa Injili Afrika Mashariki na Kati Rose Muhando.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Eddah Mwampagama wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 768 570 055
Facebook: Eddah Mwampagama
Instagram: @eddahmwampagama
Youtube: Eddah Solomon

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,147 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top