Connect with us

Gospomedia

Video: Baisa Mhela – Ndoto | Download Audio MP3

Video

Video: Baisa Mhela – Ndoto | Download Audio MP3

Video: Baisa Mhela - Ndoto | Download Audio MP3

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania Baisa Mhela ameachia video mpya ya wimbo unaoitwa Ndoto.

“Mungu ni mwema ni mzuri na mtamu hakika nimeuona mkono wake zidi kubarikiwa katika maono haya, Naomba utazame video hii kisha share na wengine wazidi kuguswa na kujiifunza kwamba majigambo ya kujivunia ukomavu wa imani ni sababu nyingine itakayokufanya usiingie mbinguni, Live and enjoy God’s blessings don’t proud for your goodness Almighty may find your guilty through your pride God is awesome.” – alisema Baisa Mhela

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Baisa Mhela wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 155 399
Facebook: Baisa Mhela
Instagram: @baisamhela
Twittter: @baisamhela
Youtube: Baisa Mhela

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement
AUDIO | Soltune - It’s Working

Audio

AUDIO | Soltune – It’s Working

By December 15, 2019

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top