Connect with us

Video: Assagwile – Dunda na Yesu | Download

Video

Video: Assagwile – Dunda na Yesu | Download

Video: Assagwile - Dunda na Yesu | Download

Mshindi wa pili Bongo Star Search (BSS 2018) Assagwile Mwasongwe kwa mara ya kwanza anaitambulisha video yake mpya ya wimbo aliuachia hivi karibuni unaoitwa Dunda na Yesu.

“Dunda na Yesu ni wimbo niliozungumzia ukuu wa jina la Yesu, Unaweza kufanyika ibada kwako kwa kumshukuru Mungu katika Kristo Yesu hasa ukiangalia kule ambako amekutoa mpaka hapo ulipo sasa, hata kama upo kwenye changamoto unapaswa kutambua kuwa jaribu lolote linakutengenezea msingi imara wa kubeba kitu kizuri na kikubwa ulichoandaliwa mbeleni hivyo usichoke kutembea Kudunda na Yesu.” – alisema Assagwile

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna yako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Asangwile wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 57 57 05
Facebook: Asagwile Mwasongwe
Instagram: asagwile_

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top