Connect with us

Video: Asnath Mathias – Tumeujua Ukweli | Download

Video

Video: Asnath Mathias – Tumeujua Ukweli | Download

Video: Asnath Mathias - Tumeujua Ukweli | Download

Asnath Mathias ni mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili nchini Tanzania na hii ni video ya wimbo wake mpya unaoitwa Tumeujua Ukweli.

“Tumeujua Ukweli wimbo ambao umelenga kuwakumbusha watu madhara ya kuendelea kutenda dhambi.” – alisema Asnath Mathias

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Asnath Mathias wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 786 037 554
Instagram: @asnathmathias
Youtube: Asnath Mathias

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top