Connect with us

Gospomedia

Video | Angel Benard – I Still Believe | Listen/Download MP3 Audio [Free Gospel Song]

Video

Video | Angel Benard – I Still Believe | Listen/Download MP3 Audio [Free Gospel Song]

Video | Angel Benard - I Still Believe | Listen/Download MP3 Audio [Free Gospel Song]

Angel Benard ni moja kati ya waimbaji wa kimataifa wenye nguvu kubwa ya ushawishi katika anga la muziki wa Injili Afrika Mashariki na Kati na kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 anaandika historia nyingine mpya kwa kuachia video ya wimbo wake mzuri unaoitwa I STILL BELIEVE.

“As you listen to this song. My prayer is You will call that which is not existing as if it is. Genesis 1:1-2 When God saw that the earth was shapeless, unformed, and covered in darkness. He started calling out the things that aren’t there as if they are. (“Let there be light!”) For this is our confidence. 1 John 5:14 And this is the confidence that we have toward him, that if we ask anything according to his will he hears us. May you be strengthened. For they that wait upon the Lord shall renew their strength.” – Angel Bernard

Ni hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati utakapokuwa unatazama na kusikiliza wimbo huu ambao umejazwa maneno yenye nguvu ya kuimarisha imani yako na kuhuisha moyo wako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Angel Benard wasiliana naye kupitia
Simu/WhatsApp: +255 689 748 484
Facebook: Angel Benard
Twitter: @angelbenard
Instagram: @angelbenardofficial
YouTube: Angel Benard

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement
AUDIO | Soltune - It’s Working

Audio

AUDIO | Soltune – It’s Working

By December 15, 2019

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top