Connect with us

Gospo Media

Video: Agness Mangu – Nikutumikie | Download Audio MP3

Video

Video: Agness Mangu – Nikutumikie | Download Audio MP3

Video: Agness Mangu - Nikutumikie | Download Audio MP3

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia wimbo unaoitwa Nikutumikie kwa mara nyingine tena ameachia video mpya ya wimbo huo kutoka kwa Agness Mangu mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha, Tanzania.

“Lengo kuu la wimbo huu ni watu wajue umuhimu wa kutumika kwa Mungu, Mimi Mungu kanitoa mbali imefika hatua nimetaka nimtumikie, Ujumbe huu si kwa ajili yangu tu, Bali ni kwa kila mmoja aliyevushwa hatua moja kwenda nyingine na Mungu.” – alisema Agness Mangu

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Agness Mangu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 725 271
Facebook: Agness Mangu
Instagram: @agnessmangu
Youtube: Agness Mangu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,147 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top