Connect with us

Gospo Media

Video | Victor Makaranga – Imani | Download MP3 Audio

Video

Video | Victor Makaranga – Imani | Download MP3 Audio

Victor Makaranga - Imani

Victor Makaranga ni moja kati ya waimbaji wenye mzigo wa kueneza Injili kwa njia ya uimbaji ndani na nje ya mipaka ya Tanzania na kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ametusogezea video ya wimbo wake mpya unaoitwa Imani.

“Basi Imani chanzo chake ni kusikia, Na kusikia huja kwa neno la kristo. WARUMI 10:17” – Victor Makaranga

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Victor Makaranga wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 778 498
Facebook: Victor Makaranga
Instagram: @victormakaranga
Youtube: VICTOR MAKARANGA

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top