Connect with us

Video: Shad B – Umenitowa Mbali | Download MP3 Audio

Video

Video: Shad B – Umenitowa Mbali | Download MP3 Audio

Shad B - Umenitowa Mbali

Kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Umenitowa Mbali kutoka kwa Shad B mwimbaji wa nyimbo za Injili akitokea kule nchini Norway.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii iliyobeba habari njema kwa ajili yako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Shad B wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +47 462 69 248
Instagram: @waba_shadra_wmp
Youtube: Official shad-B

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top