Connect with us

Gospo Media

Video: Sarah Téibo – Like A Child (Remix) ft. Fred Hammond | Download Free MP3 Audio

Video

Video: Sarah Téibo – Like A Child (Remix) ft. Fred Hammond | Download Free MP3 Audio

Sarah Téibo - Like A Child (Remix) ft. Fred Hammond

Like A Child kutoka kwa Sarah Téibo ni moja kati nyimbo kali zinazopatikana kwenye albamu yake kubwa kabisa inayoitwa Keep Walking akiwa amemshirikisha mkali wa nyimbo za Injili nchini Marekani Fred Hammond akiwa moja kati ya wanamuziki waliojinyakulia tuzo kadha wa kadha kutoka Grammy Awards.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: sarahteibomusic
Instagram: @sarahteibomusic
Twitter: @sarahteibomusic
YouTube: Sarah Téibo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,147 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top