Connect with us

Gospo Media

Video: Richard Munis – Tenda | Download MP3 Audio

Video

Video: Richard Munis – Tenda | Download MP3 Audio

Richard Munis - Tenda

Kwa mara nyingine leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Tenda kutoka kwa Richard Munis mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania.

“Tangu kipindi nikiwa mtoto wazazi wangu walinikuwa wakinifundisha kwamba kumjua Mungu kuna faida na leo hii mimi mwenyewe nimekua na nimeshuhudia, Hivyo wewe unayeusikiliza wimbo huu mtumikie Mungu kwa moyo wako wote na ujitoe kwani Mungu ni mwema na faida zake ni kuu mnno, Amen.” – alisema Richard

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Richard Munis wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 651 541
Facebook: Richard Munis
Instagram: @richardmunis
Youtube: Richard Munisi Tz

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top