Connect with us

Gospomedia

Audio: Neema Ng’asha – Wewe ni Mungu | Download MP3

Audio

Audio: Neema Ng’asha – Wewe ni Mungu | Download MP3

Neema Ng'asha Wewe Ni Mungu

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo mpya wa kuabudu kutoka kwa Neema Ng’asha mwimbaji wa nyimbo za Injili akitokea jijini Mwanza.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao kwa hakika utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Neema Ng’asha wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 527 249
Facebook: Neema Ng’asha
Instagram: @neema_natasha
Youtube: Neema Ng’asha.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement
AUDIO | Soltune - It’s Working

Audio

AUDIO | Soltune – It’s Working

By December 15, 2019

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top