Connect with us

Gospo Media

Audio: Naffymar – Good2Me ft. Sam Jamz | Listen/Download MP3 Audio

Audio

Audio: Naffymar – Good2Me ft. Sam Jamz | Listen/Download MP3 Audio

Naffymar - Good2Me ft. Sam Jamz

Naffymar ni mwimbaji wa nyimbo za Injili akitokea pale jijini London Uingereza na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Good2Me aliouachia hivi karibuni akiwa amemshirikisha rapa Sam Jamz.

“God has been soo #Good2Me and this is one song that expresses how I feel when I think of his goodness.” – Naffymar

Good2Me ni moja kati ya nyimbo kali zitakazopatikana kwenye Extended Play yake ya nne inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao kwa namna moja ama nyingine utaufurahia na kubarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Naffymar
Instagram: @naffymar
YouTube: NaffymaR

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top