Connect with us

Video: Mkolani SDA Choir – Natamani | Download

Video

Video: Mkolani SDA Choir – Natamani | Download

Kutoka Nyegezi Mwanza kwa mara ya kwanza Tanzania tunaitambulisha kwako kwaya ya Mkolani SDA Choir na hii ni video yao ya kwanza kuachia ya wimbo unaoitwa NATAMANI.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na uongozi wa kwaya ya Mkolani SDA kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 754 854 600, +255 684 089 122, +255 766 005 218
Facebook: Mkolani SDA Choir
Youtube: Mkolani sda choir sdachoir

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,785 other subscribers

To Top