Connect with us

Gospomedia

Audio: Mathias Walichupa – Naringaga | Download MP3 Audio

Video

Audio: Mathias Walichupa – Naringaga | Download MP3 Audio

Audio Mathias Walichupa - Naringaga

Mathias Walichupa ni moja kati ya waimbaji wapya katika tasnia ya muziki wa Injili akiwa anaendelea kufanya vizuri Tanzana na sasa amekuja na wimbo wake mpya kabisa unaoitwa Naringaga.

“Naringaga ni wimbo ambao nimejaribu kuimba uzuri wa upendo wa YESU kwangu ambao unanifanya Naringa katika Pendo lake, Na nikifikiri kwa kina jinsi alivyonipenda msalabani kuteswa na kufufuka ili kuniokoa hakika nina ujasiri wa Kuringa kwa kuwa Bwana wangu Yesu yu hai ndani yangu.” – alisema Mathias Walichupa

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni kweli kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Mathias Walichupa wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 255 858
Facebook: Mathias Walichupa
Instagram: @mathiawalichupa
Youtube: Mathias Walichupa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement
AUDIO | Soltune - It’s Working

Audio

AUDIO | Soltune – It’s Working

By December 15, 2019

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top