Connect with us

Video: John Anyandwile – Umejiheshimisha | Download

Video

Video: John Anyandwile – Umejiheshimisha | Download

Video: John Anyandwile - Umejiheshimisha | Download

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza kabisa tunamtambulisha kwako John Anyandwile mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mbeya na hii ni video ya mpya ya wimbo wake mzuri wa kuabudu unaoitwa UMEJIHESHIMISHA ukiwa ni wimbo pekee unaobeba jina la albamu yake ya kwanza.

“Kuna nyakati ambazo mwanadamu anapita katika shida na mahangaiko mengi sana kiasi cha kumkosa Mungu lakini ashukuriwe Mungu kwa upendo wake mkuu ambao hutufanya upya na kutuongoza katika njia iliyo sawasawa na mapenzi yake, Hakika hakuna kama wewe Mungu umetukuka hakuna kama wewe, UMEJIHESHIMISHA patakatifu pako . #WEWENIMUNGU” – John Anyandwile

Karibu utazame video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na John Anyandwile wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 746 660 028
Facebook: John Anyandwile
Instagram: @johnanyandwile
Youtube: John Anyandwile

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top