Connect with us

Gospo Media

Video: Joel Lwaga – Wadumu Milele | Download Free MP3 Audio

Video

Video: Joel Lwaga – Wadumu Milele | Download Free MP3 Audio

Joel Lwaga - Wadumu Milele video

Mkali wa nyimbo za Injili Afrika Mashariki ambaye kwasasa ni mwimbaji wa kimataifa Joel Lwaga kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 ameachia video yake mpya ya wimbo unaoitwa Wadumu Milele.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Joel Lwaga wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 747 597
Facebook: Joel Lwaga
Instagram: @joellwaga_official
Youtube: JoelLwagaOnline

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top