Connect with us

Gospo Media

Video: Jenipher Sitta – Nashukuru | Download MP3 Audio

Video

Video: Jenipher Sitta – Nashukuru | Download MP3 Audio

Jenipher Sitta - Nashukuru

Nashukuru ni video ya wimbo mpya kutoka kwa mwanadada Jenipher Sitta ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania.

“Kwenye kila hatua ya maisha unapaswa kumshukuru Mungu kwa kila jambo fuatana nami kutazama video ya wimbo huu wenye maneno ya kumshukuru Mungu na kuleta uponyaji ndani yako, Barikiwa!” – alisema Jenipher Sitta

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Ameen.

Kwa mawasiliano zaidi na Jenipher Sitta wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 478 844
Facebook: Jenipher Sitta Daily
Instagram: @jennsitta
Youtube: Jenipher Sitta

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top