Connect with us

Video: James Bahari – Yesu Nakupenda | Download MP3 Audio

Audio

Video: James Bahari – Yesu Nakupenda | Download MP3 Audio

James Bahari - Yesu Nakupenda

James Bahari ni mwimbaji mpya katika anga la muziki wa Injili nchini Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Yesu Nakupenda.

“Yesu nakupenda ni wimbo wa kusifu unaoeleza ukuu wa Mungu katika maisha yetu, Ni haja yetu kukaa naye milele kwa maana hakuna mbadala wa awaye yeyote atakayeweza kusimama badala yake kwenye maisha yetu.” – alisema James Bahari

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Instagram: @mrocean_james
Twitter: @shonaman_ppa
YouTube: James Bahari

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,698 other subscribers

To Top