Connect with us

Gospomedia

Video: Evans Ogboi – I am Gifted | Download Free MP3 Audio

Video

Video: Evans Ogboi – I am Gifted | Download Free MP3 Audio

Evans Ogboi - I am Gifted

Evans Ogboi ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka pale jijini London Uingereza na sasa ametusogezea video yake mpya ya wimbo mzuri unaoitwa I am Gifted hii ikiwa ni (Live Version) aliyoifanya katika kanisa la The iconic City Gates church huko jijini London.

“This song is dedicated to all the gifted people all over the world. We are gifted for our unique purpose, gifted for God’s plan. This declaration confronts every self doubt, low self esteem and everything that ever challenged your identity. You are uniquely gifted and you have everything you need to fulfil destiny in Christ.” – Evans Ogboi

Ni hakika kuwa utainuliwa na kubarikiwa kila wakati utakapokuwa unatazama na kusikiliza wimbo huu ambao umebeba ujumbe wa kuinua sana, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Evans Ogboi
Instagram: @evansogboi
YouTube: Evans Ogboi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement
AUDIO | Soltune - It’s Working

Audio

AUDIO | Soltune – It’s Working

By December 15, 2019

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top