Connect with us

Gospomedia

Video: Evalyne Denis – Na Wewe | Download MP3 Audio

Video

Video: Evalyne Denis – Na Wewe | Download MP3 Audio

Evalyne Denis - Na WeweBaada ya kimya cha muda wa takribani miaka miwili Evalyne Denis mwimbaji wa nyimbo za Injili aliyebarikiwa sauti ya pekee kutoka Tanzania amekuja upya mwaka 2019 kwa kuachia video yake ya kwanza ya wimbo wake mzuri unaoitwa NA WEWE.

“NA WEWE ni wimbo unaoonesha au kukumbusha ahadi ya Mungu kwetu kama mchungaji mwema aliye rafiki na aliyeahidi hatatuacha wenyewe, Haijalishi nihali gani au changamoto zipi kubwa tunazokutana nazo katika. NA WEWE ni wimbo ulikusudiwa kama maombi na kumkumbusha Mungu juu ya ahadi yake ya kuwa nasi katika hali zote tuwapo hapa duniani kama wasafiri, Amen.” – alisema Evalyne Denis

Video hii imeongozwa na moja kati ya director mahiri nchini Tanzania maarufu kama Yotham Lyoba, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Sam Yonah.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na yenye baraka kwako kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Evalyne Denis wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 494 042 au +255 652 838 203
Facebook: Evalyne Denis
Instagram: @evalynedenis
Youtube: Evalyne Denis

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement
AUDIO | Soltune - It’s Working

Audio

AUDIO | Soltune – It’s Working

By December 15, 2019

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top