Connect with us

Audio: Vince Joyn – Kimbilia Kwake | Listen/Download MP3

Audio

Audio: Vince Joyn – Kimbilia Kwake | Listen/Download MP3

Vince Joyn - Kimbilia Kwake

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia video ya wimbo unaoitwa Na Ijulikane kwa mara nyingine Vince Joyn mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Marekani ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Kimbilia Kwake huu ukiwa ni wimbo wake wa sita kuachia kwa mwaka 2019.

“Inspired by: Jeremiah 29:11 After the AKUITA song that has blessed so many around the world, your son and brother Vince releases his new song Kimbilia which is on his soon-to-be-released album. Be blessed as you listen to this tune.” – Vince Joyn

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Vince Joyn wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +1 (515) 779-4410
Facebook: Vince Joyn
Instagram: @vincejoyn
Twitter: @vincejoyn
Youtube: Vince Joyn

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top