Connect with us

Gospo Media

Audio: The Twins ft. Andile Mbili – Mkono Wako (isandla Sakho) | Download MP3

Audio

Audio: The Twins ft. Andile Mbili – Mkono Wako (isandla Sakho) | Download MP3

Audio: The Twins ft. Andile Mbili - Mkono Wako (isandla Sakho) | Download MP3

Baada ya kimya cha muda wa Takribani mwaka mmoja toka walipoachia video ya wimbo unaoitwa Calvary kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili linalojulikana kama The Twins wameachia wimbo wao mpya kabisa unaoitwa Mkono Wako wakiwa wamemshirikisha Andile Mbili mwimbaji kutoka nchini Afrika Kusini.

Mkono Wako ni wimbo wa Ibada na sifa ulioimbwa katika lugha mbili tofauti yaani Kiswahili na Kizulu, Huu ni wimbo ambao umebeba maombi mbele za Mungu tukiamini mkono wake una nguvu ya kuokoa, kuponya na kufariji ndani yetu, Hata tupitapo katika majaribu mkono wake una nguvu ya kugusa na kubadilisha uchungu na huzuni zote kuwa furaha isiyo na mwisho.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na kundi la The Twins wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 761 906
Facebook: Jacob Mvena | Joshua Mvena
Instagram: @jacobmvena | @jacobmvena
Youtube: thetwins jj

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,147 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top