Connect with us

Gospomedia

Audio: The Trinity ft. Kibonge wa Yesu – Nikupendeze | Download MP3

Audio

Audio: The Trinity ft. Kibonge wa Yesu – Nikupendeze | Download MP3

Audio: The Trinity ft. Kibonge wa Yesu - Nikupendeze | Download MP3

THE TRINITY ni kundi jipya la waimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania kwa mtindo wa Gospel HipHop na kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 wanaandika historia kwa kuachia wimbo wao mpya unaoitwa NIKUPENDEZE wakiwa wamemshirikisha mwimbaji mwenye sauti ya pekee Kibonge wa Yesu.

THE TRINITY ni kundi linaloundwa na vijana watatu akiwemo Dona Jr, John Lihawa na Black Samaritan ambao kwa pamoja wameamua kuunganisha nguvu ya pamoja katka kumtumikia Mungu kwa kuhubiri Injili kwa njia ya muziki.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na kundi la The Trinity wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 024 455 au +255 716 080 838
Facebook: The_Trinity
Instagram: @the_trinity_3
Youtube: The Trinity

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top