Connect with us

Audio: Rega the Best Melody – Uwe na Mimi | Download Audio MP3

Audio

Audio: Rega the Best Melody – Uwe na Mimi | Download Audio MP3

Audio: Rega the Best Melody - Uwe na Mimi | Download Audio MP3

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa Uwe na Mimi kutoka kwa mwimbaji Rega the best melody.

“Vita tulizo nazo haipaswi kupambana kwa nguvu zetu tumuombe MUNGU atupiganie “Maana imeandikwa niite nami nitaitika” Nami nmemuomba MUNGU awe nami.” – alisema Rega the best melody.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Rega the Best Melody wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 640 077
Instagram: @rega_the_best_nziku
Youtube: Rega the best melody

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,698 other subscribers

To Top