Connect with us

Gospo Media

Audio: Paul Clement ft. Melisa John – Kiapo | Listen/Download Free MP3 Audio

Audio

Audio: Paul Clement ft. Melisa John – Kiapo | Listen/Download Free MP3 Audio

Paul Clement ft. Melisa John - Kiapo

Kwa mara nyingine tena mkali wa sauti katika tasnia ya muziki wa Injili Afrika mashariki al maarufu Paul Clement ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Kiapo Njia akiwa amemshirikisha mwanadada Melisa John.

“Kiapo ni wimbo maalumu kabisa kwa ajili ya mke wangu Anna Madaha, Kwa moyo mweupe nakukaribisha kusikiliza wimbo huu mpya na ni maombi yangu mara baada ya kusikiliza utasambaza wimbo huu kwa watu wengi uwezavyo ili upendee uenee duniani kote, Barikiwa.” – alisema Paul Clement

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Paul Clement kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 661 862 au +255 719 367 002
Facebook: Paul Clement
Instagram: @minister_paulclement
YouTube: Paul Clement

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top