Connect with us

Audio: Haruni Zabron – Nakusubiri | Download

Audio

Audio: Haruni Zabron – Nakusubiri | Download

Haruni Zabron - Nakusubiri

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Haruni Zabron mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Nakusubiri.

“Niliamua kuandika wimbo huu kwasabubu kuna muda binadamu tunapitia nyakati ngumu na kukatishwa tamaa na kusababisha kukutenganisha na Mungu, Nafahamu kuwa umeomba sana lakini Mungu hajajibu kwa wakati unaotaka wewe hivyo nakusihi uendelee kusubiri kwa imani tu bila kujali unapitia mambo gani magumu nakuomba usimwache Mungu.” – alisema Haruni Zabron

Karibu kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Haruni Zabron wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 689 627 155
Facebook: Haruni Zabron
Instagram: @harunizabron
Youtube: Haruni Zabron

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top