Connect with us

Audio: Armee Seben – Sitabaki Nilivyo(Cover) | Download

Audio

Audio: Armee Seben – Sitabaki Nilivyo(Cover) | Download

Audio: Armee Seben - Sitabaki Nilivyo(Cover) | Download

Kutoka mjini Morogoro kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tunalitambulisha kwako kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili linalofahamika kama Armee Seben na huu ni wimbo wao wa kwanza kuachia unaoitwa Sitabaki Nilivyo ikiwa ni marudio(cover) ya wimbo ulioimbwa na mwimbaji maarufu Tanzania Joel Lwaga.

“Sitabaki Nilivyo ni cover ya wimbo kutoa kwa kaka yetu Joel Lwaga ambaye tunamheshimu kama mwimbaji wa Africa mashariki, Armee Seben ni kikundi cha bendi ya muziki ikiwa na mkusanyiko wa watu 12 ambao wote ni wana muziki na waimbaji. Tunaamini nyimbo hii itakwenda kugusa mioyo ya watu na kuwainua hata wasiojiweza, Amen.” – walisema Armee Seben

Karibu kusikiliza wimbo huu ambao tunaamini kuwa utakubariki na kukuinua tena wewe uliyekata tamaa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Bendi ya Armee Seben wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 679 185 210
Instagram: @armeeseben_tz
Youtube: Armee Seben

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,785 other subscribers

To Top