Connect with us

Gospomedia

Audio | Alphoncener – Jina Lako

Audio

Audio | Alphoncener – Jina Lako

Audio: Alphoncener - Jina Lako | Download Audio MP3

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tunautambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa JINA LAKO kutoka kwa mtumishi wa Mungu Alphoncener.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Alphoncener wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 693 301 553
Facebook: Alphoncener Lucas
Instagram: @alphoncenerlucas
Youtube: Alphoncener Lucas

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top