Connect with us

Video: Agust Luck X Elijah Mgonja X Luckyson LG – Ni wewe | Download MP3 Audio

Video

Video: Agust Luck X Elijah Mgonja X Luckyson LG – Ni wewe | Download MP3 Audio

Agust Luck X Elijah Mgonja X Luckyson LG - Ni wewe

Kutoka jijini Arusha Tanzania kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video ya wimbo unaoitwa Ni wewe kutoka kwa Agust Luck akiwa na Elijah Mgonja pamoja na Luckyson LG.

“Kwenye nyimbo hii ya Ni wewe.. Tumemshukuru Mungu kwa mengi anayo yafanya maishani kwetu na anazidi kutupigania kila wakati. Hakika anastahili sifa na utukufu na jina lake lihimidiwe daima.” – alisema Agust Luck

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo tunaamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Agust Luck wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 669 805
Facebook: Agust Luck
Instagram: @agustluck | @elijah_mgonja | @luckysonlg
Youtube: AGUST LUCK

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top