Connect with us

Gospo Media

Audio: Adaora – iCan ft. Papa San | Listen/Listen Free Gospel Song

Audio

Audio: Adaora – iCan ft. Papa San | Listen/Listen Free Gospel Song

Adaora - iCan ft. Papa San

Adaora ni mwimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya Nigeria akiishi nchini Marekani na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa I CAN akiwa amemshirikisha Papa San.

“Most times we go into a place of prayer to make demands of God. We need to sometimes channel all our energy towards loving on God through our worship and thanksgiving. This way we build potential energy that can be called upon in times of need. King David used this technique effectively. I encouraging you to take God-confidence and move forward knowing that God is with you. This confidence comes from focusing on loving God through your worship.” – Adaora

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukuinua kila wakati, Amen.

 

Social Media:
Facebook: AdaoraSings
Instagram: @adaoramusic
Twitter: @adaoramusic
YouTube: Adaonosike

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top