Connect with us

Gospo Media

Video: Yadah – Fire | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Video

Video: Yadah – Fire | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Video: Yadah - Fire | Listen/Download MP3 [Free Gospel Song]

Kutoka Tanzania leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa Fire kutoka kwa kundi la waimbaji wa nyimbo za Injili linalofahamika kama Yadah.

“In these days of much trouble, one of the major weapons we will need is the holy spirit’s fire to consume all of the devil’s schemes. Deploy the fire of the most high God and destroy the works of the devil.” – Yadah

Yadah ni jina la kiebrania ikiwa na maana ya Tunainua Mikono yetu juu tunamsifu Mungu ambapo mpaka sasa lina waimbaji wawili vijana ambao wameamua kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na  kundi la Yadah wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 620 874 668
Facebook: Yada Tanzania
Instagram: @yadah_tanzania
Youtube: Yadah Tanzania

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na blog ya gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe yako.

Join 13,148 other subscribers

Gospomedia.com ni blog rasmi inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kilasiku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top