Connect with us

Audio: Wenceslaus Nogu – Asante Yesu | Listen/Download [Free Gospel Song]

Audio

Audio: Wenceslaus Nogu – Asante Yesu | Listen/Download [Free Gospel Song]

Audio: Wenceslaus Nogu - Asante Yesu

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza katika anga la muziki wa Injili leo tunamtambulisha kwako Wenceslaus Nogu mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Asante Yesu.

Asante Yesu ni wimbo wa kumshukuru Mungu kwa huduma hii hakika Yesu pekee ndiye rafiki wa kweli maana yeye hawezi kukuacha wakati wote yupo na wewe ishi kwa kumtegemea na kumwamini maana haja ya moyo wako itatimizwa kupitia yeye, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Wenceslaus Nogu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 594 945
Facebook: Wenceslaus Nogu
Instagram: @wenceslausnogu
Youtube: Wenceslaus Nogu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,697 other subscribers

To Top