Connect with us

Video | Sara Nyongole – Anaweza | Download

Video

Video | Sara Nyongole – Anaweza | Download

Video: Sara Nyongole - Anaweza

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia video ya wimbo uitwao Ni Mungu kwa mara nyingine tena mwimbaji anayeendelea kufanya vizuri Tanzania Sara Nyongole ameachia video ya wimbo wake mpya wa sifa unaoitwa Anaweza.

“Mungu wetu ni muweza jana, leo na hata milele siku zote tutaaziimba sifa zake kwa maana yeye ni mkuu mno. Zaburi 9:2 Nitafurahi na kukushangilia; Nitaliimbia sifa jina lako, Wewe Uliye juu.” – alisema Sara Nyongole

Sara Nyongole kwasasa yupo chini ya lebo ya muziki iitwayo Sane Music ikisimamia na kuratibu shughuli zote za huduma yake.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ya sifa tukiamini kuwa itakubariki na kukuinua siku zote, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Sara Nyongole wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 789 949 665
Facebook: Sara Nyongole
Instagram: @saranyongole
Youtube: Sara Nyongole

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top