Connect with us

Video | Rose Muhando & Joyness Kileo – Agano

Video

Video | Rose Muhando & Joyness Kileo – Agano

ROSE MUHANDO & JOYNESS KILEO- AGANO(OFFICIAL VIDEO)

Kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa AGANO kutoka kwa mkongwe wa nyimbo za Injili Rose Muhando akiwa na mwanamama Joyness Kileo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,702 other subscribers

To Top