Connect with us

Gospo Media

Video: Rogate Kalengo & Roka Family – Nainuka

Video

Video: Rogate Kalengo & Roka Family – Nainuka

Rogate Kalengo X Roka Family - Nainuka (Official Video)

Baada ya siku chache zilizopita kukusogezea wimbo uitwao Nainuka kutoka kwa mkali wa sauti Rogate Kalengo akiwa na kundi lake la Roka Family kwa mara nyingine tena leo tumekudondoshea video ya wimbo huo iliyotoka siku chache zilizopita.

“Naitwa Rogate Kalengo mbeba maono ya ROKA, Namshukuru MUNGU kwa kunipa kibali kuanzisha haya MAONO ya Roka Show Tanzania, Nakupelekea kufanyika kwa wimbo huu nikiwa na vijana waliokuwepo kwenye Roka Show msimu wa kwanza ambao kwa pamoja wameonesha uwezo wao katika uimbaji.” – Rogate Kalengo

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa na sauti za vijana hawa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mwimbaji Rogate Kalengo kupitia
Simu/WhatsApp: +255 752 254 801 au +255 769 103 087
Facebook: Rogate Kalengo
Instagram: @rogatekalengo_official
YouTube: rogatekalengotv show

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top